Arafat Ally Haji

"Zanzibar ni muda mrefu nilikuwa mbali na nyumbani kwa ajili ya majukumu ya Kitaifa lakini moyo wangu haukuacha kudundia nyumbani nilipotokea."

“Maendeleo ya leo,
Kwa kesho”
sub-banner-right-man-img
index2-about-right-img
MJUE ARAFAT ALLY HAJI

Mwana ShauriMoyo

Nimezaliwa na kukulia Shaurimoyo, nikasoma shule za hapa, na nimejitoa kwa moyo wote kuwatumikia wananchi. Safari yangu ya kazi imepita kwenye benki, bima, usafirishaji, na uongozi wa michezo. Nawakilisha Jimbo la Shaurimoyo kwa uadilifu na dhamira thabiti.

Mwananchi wa kawaida wa Shaurimoyo, Zanzibar ni muda mrefu nilikuwa mbali na nyumbani kwa ajili ya majukumu ya Kitaifa lakini moyo wangu haukuacha kudundia nyumbani nilipotokea, hii ndio Mitaa yangu, nyumbani kwangu na ni sehemu ambapo Moyo wangu umependezwa napo. Unaweza kunitoa Nje ya Shaurimoyo ila hauwezi kuitoa Shaurimoyo ndani yangu, kwa moyo mmoja na upendo mkubwa nimerudi nyumbani kwa ajili ya kuwatumikia Wananchi wenzangu.

counter-icon1

800K

Total Volunteer
counter-icon2

CAMPAIGN

580+
counter-icon3

COVERAGE AREA

795 Miles
counter-icon4

VOTE PAPER

6,895K
VIDEO